DOWNLOAD Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana | MP3, Lyrics

DOWNLOAD Goodluck Gozbert – Hauwezi Kushindana | MP3, Lyrics

Download Goodluck Gozbert Hauwezi Kushindana mp3 audio

Eminent gospel music singer Goodluck Gozbert released a new illustrious track titled “Hauwezi Kushindana” along with its video performance.

Download Mp3/Audio Below

Lyrics: Goodluck Gozbert – Hauwezi Kushindana

Hauwezi kushindana, oh kushindana
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu

Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe

READ ALSO:  DOWNLOAD Sonnie Badu – Agidigba | MP3, Lyrics

Ukiendelea unawapa kichwa hao
Basi laza imani rejea vitani

Wakikuona waseme umekuwa sugu
Acha waongee acha waseme seme
Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo

Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea

Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
Ungejifunza ukimya haunanga hasara
Fulani we fulani una shida gani

READ ALSO:  TY Bello – Drink Mp3 Download & Lyrics

Na uongo wanini Mwogope Mungu
Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
Mimi nimeshakwambia