DOWNLOAD Joel Lwaga - Nitakuamini Tu | MP3, Lyrics

DOWNLOAD Joel Lwaga – Nitakuamini Tu | MP3, Lyrics

Download Joel Lwaga Nitakuamini Tu mp3 audio

Eminent gospel music singer Joel Lwaga released a new illustrious track titled “Nitakuamini Tu” along with its video performance.

Download Mp3/Audio Below

Lyrics: Joel Lwaga – Nitakuamini Tu

Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

READ ALSO:  Kholeka – Ngubani Na

Nitakuamini, nitakuamini
Nitakuamini, nitakuamini tu
Nitakuamini, nitakuamini
Nitakuamini, nitakuamini tu

Nimejua na nina uhakika (Hee)
Ukisema neno linatimia
We si mwanadamu ataujuta
Si mtu kusema uongo

Hata kama nuru inafifia (Hee)
Hata kama huu ni uhalisia
Hata kama sioni njia
Sina pa kukimbilia
Ulilosema ni akiba, hee

Iwe mvua ama jua
Kiangazi au masika
Iwe leo au kesho
Siku nisiyoijua
Nitasubiri, nitasubiri
Nitasubiri, kwa kuwa umesema…

Kwa kuwa umesema, mimi nitakuamiamini tu
Hata kama sijaona, mimi nitakuamini tu
Sitajali wanaosema, mimi nitakuamini tu
Nitashika ulilosema, mimi nitakuamini tu

READ ALSO:  DOWNLOAD Ntokozo Mbambo – My Blessing | MP3, Lyrics

Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini tu

Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini
Nitakuami, nitakuamini tu