Home Gospel Songs Goodluck Gozbert – Kina Muuma

Goodluck Gozbert – Kina Muuma

0

Tanzanian gospel music maestro called, Goodluck Gozbert drops this amazing tune tagged, Kina Muuma, which was released in the year 2023.

Multi-talented Christian singer, Goodluck Gozbert comes through with this amazing song tagged, Kina Muuma. He released this intriguing tune in the year 2023 and was taken off his much-accepted studio extended playlist tagged, Ushindi, which houses six solid and dope tracks.
The record, Kina Muuma was outlined as the 1st track of the EP. The prolific and talented singer from Tanzania, Goodluck Gozbert really put pen to paper on the project, which will surely keep you excited as you listen to the tracks one after the other.

Kina Muuma is a great and awesome piece of music that will worth a space in your playlist. Goodluck Gozbert really did justice to the instrumental, one would love to hear over and over again.

You can’t afford to miss out on a chance to enjoy this soul-lifting song Listen, Download Goodluck Gozbert – Kina Muuma Audio & Don’t forget to Share your thoughts using the comment box below

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3 SONG

Video: Goodluck Gozbert – Kina Muuma

Kina Muuma Lyrics By Goodluck Gozbert

Intro

Amengoja Zamani
Aninase na Kamba
Ameaibika,
Ningali Chini ya Mwamba Tena Nashangaa,
Alitumia Wanadamu Mi nina Mungu
Amewatoa Manundu
Wale Wachawi Mabonde
Radi Zilizotumwa
Yesu Alinibeba Mbawani Mwake

Bridge

Kwanza Ngoja Nicheke,
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kwanza ngoja Nicheke
Ha ha Ha Ha Ha ha
Nicheke Tena Ha Ha Ha Ha Ha Ha

Chorus
Kinamuuma, Shetani Kinamuuma Kinamuuma
Shetani Kinamuuma

Verse 1

Aliyozuia Yote, Yameshindikana,
Wanaoana Amekasirika,
Aliochonganisha,
Wamepatana,
Wale aliopanga Wafe
Ana Waona Tena Kazimia,
Wampepee,
(Wampepee Pepee)
Tena Wampe na Polee (Pepee Peepee)
Mana Ameshinda Tena Yesu (Ameen Ameen)
Ameshinda Na Vitaa (Ameen Ameen) Kinamuuma x 2

Chorus
Kinamuuma, Shetani Kinamuuma Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma

Anaona Aibu,
Anapita Kwa Mbali (Kama Kimondo) Alinisukuma Sana,
Nianguke Imekataa,
Akatuma Majeshi,
Yakakuta Majeshi,
Kimeumana, Akachapwa Anashangaa,
Huyu ni Mungu gani,
Anauweza Gani,
Anarejesha Yani, Amani Namshangaa,

Bridge

Kwanza Ngoja Nicheke,
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kwanza ngoja Nicheke
Ha ha Ha Ha Ha ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kinamuuma x 2

Chorus

Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma

Outro
Watu Wametoboa
Maisha Yanaendele
Wametoboa, Toboa Toboa
Watu Wametoboa
Mungu Kawatetea Wametoboa