Gwamaka Mwakalinga - Shangilia Ft Roc Worshipperz | MP3, Lyrics

Gwamaka Mwakalinga – Shangilia Ft Roc Worshipperz | MP3, Lyrics

Download Gwamaka Mwakalinga Shangilia mp3 audio Ft Roc Worshipperz

Eminent gospel music singer Gwamaka Mwakalinga released a new illustrious track titled “Shangilia” along with its video performance.

Download Mp3/Audio Below

Lyrics: Gwamaka Mwakalinga – Shangilia Ft Roc Worshipperz

Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana

Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka

Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana

READ ALSO:  Patrick Kubuya – Shammah Ft Gwamaka Mwakalinga

Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka

Eeh bwana, jina lako la milele
Mungu nguvu la vizazi hata vizazi
Eeh bwana, jina lako la milele
Kumbukumbu la vizazi hata vizazi

Mataifa yote msifu bwana
Enyi watu wote mhimidini
Mataifa yote msifu bwana
Enyi watu wote mhimidini

Zaburi ya mia hamsini
Msifuni kwa mfumo baragumu
Msifuni kwa kinanda na kinumbi
Msifuni kwa matari na kucheza
Kila mwenye pumzi na msifu bwana

Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka

READ ALSO:  DOWNLOAD Nomini Nyawose - Ungesabi Nginawe | MP3, Lyrics

Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana

Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana
Shangilia, piga kelele kwa bwana
Shangilia, msifu bwana wa mabwana

Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka! Ametukuka, milele ametukuka