Lydia Maina – Usukani

Lydia Maina – Usukani

Fecund gospel eminent African music songstress Lydia Maina released a new illustrious track titled “Usukani” along with its lyrics.

“Usukani” song-writer and singer “Lydia Maina” is known in recent antecedent for her consistency in releasing spirit-filled songs.

Download Mp3/Audio Below

Watch Video:

Lyrics: Lydia Maina – Usukani

Mhhh yeeee

KWA MACHO YANGU
NAWEZA ONA NIKO SAWA
KUMBE SIKO SAWA (SAWA AHH)
NATAKA NITEMBEE NAWE ILI NI IFIKIE HATIMA
OH YANGU HATIMA, ( HATIMA AHH)
SIKU ZOTE SIKIO HALIZIDI KICHWA
HALIZIDI KICHWA EHH
NITAKWAMINI USIKU HATA KUKICHA
HATA KUKICHA EH BABA

READ ALSO:  [MP3 DOWNLOAD] Upon Him – Matt Redman

KWA MWENDO WA ASTE ASTE
NI WEWE NAKUFWATA YAWEH
WEWE UJUAE MWANZO NA MWISHO WANGU

KWA MWENDO WA ASTE ASTE NI WEWE NAKUFWATA YAHEH
WEWE UJUAE MWANZO NA MWISHO WANGU
(EHH BABA)

(Chorus)

CHUKUA USUKANI BABA *2
CHUKUA USUKANI BABA *2
CHUKUA *4
CHUKUA USUKANI BABA

SITAKI NIJIFANYE NAJUA
MWISHOWE NKAJA KUUNGUWA JUA
KAMA SARAH NISIJITAFTIE ISHMAELI
MWISHOWE NKAJA KUUNGUWA JUA

READ ALSO:  Lionel Richie - Just Can't Say Goodbye

KWA HUDUMA YANGU SUWEZI BILA WEWE
(Babaaa)
SAFARI YANGU SIWEZI BILA WEWE
(Baba)
JAMII YANGU SIWEZI BILA WEWE
(Babaaa)
JITIHADA ZANGU SIWEZI BILA WEWE
(OHHH)

(Chorus)

CHUKUA USUKANI BABA *2
CHUKUA USUKANI BABA *2
CHUKUA *4
CHUKUA USUKANI BABA

KWA MWENDO WA ASTE ASTE
NI WEWE NAKUFWATA YAWEH
WEWE UJUAE MWANZO NA MWISHO WANGU

KWA MWENDO WA ASTE ASTE
NI WEWE NAKUFWATA YAWEH
WEWE UJUAE MWANZO NA MWISHO WANGU

(chorus)