Ni Mshindi - Lilian Kirui Ft Oluh Saye

Ni Mshindi – Lilian Kirui Ft Oluh Saye

Download Ni Mshindi Lilian Kirui mp3 audio Ft Oluh Saye

Eminent gospel music singer Lilian Kirui released a new illustrious track titled “Ni Mshindi” along with its video performance.

Download Mp3/Audio Below

Watch Video:

Lyrics: Ni Mshindi – Lilian Kirui

1. Kuna mwanamume wa dhamani sana;
Ni zaidi ya mtu wa kawaida;
historia yake hutia Moyo nguvu na tumaini
ni Yesu mkombozi wa ulimwengu.

READ ALSO:  DOWNLOAD Bwana Uniongoze Juu - Lilian Kirui & Sylvia Akoth

2. Kwa upendo mwingi kaacha enzi,
kajitoa aoshe dhambi zangu
minyororo yote iliyonifunga ikafunguliwa
asante Baba kwa Pendo hilo.

Chorus
Nitaimba nina lake daima kiongozi wa maisha yangu,
wajua nitokapo na niendapo,
nimemwamini, sijuiti kamwe,
ni mshindi kabisaa ninalindwa
nimemwamini sijuiti kamwe
ni mshindi kabisaa ninalindwa
ni mshindi kabisaa nina Baba

3. Wakati mwingine naishiwa nguvu
natambua shetani amenitega
ninaita jina lake hachelewi kuja
kunipigania
asantee Baba kwa Pendo hilo.

READ ALSO:  Afy Douglas - The Man You Saved (Saviour) | Mp3